SALAMA 🔥 ON ALL DIGITAL PLATFORMS
Nenda kaangalie YouTube na sehemu zingine❤️
Sikiliza, download bonyeza link hii 👇👇
https://onerpm.link/160237029383
SALAMA 🔥 ON ALL DIGITAL PLATFORMS
Nenda kaangalie YouTube na sehemu zingine❤️
Sikiliza, download bonyeza link hii 👇👇
https://onerpm.link/160237029383
Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza anayeitwa Neema Ng'asha ametoa video mpya ya wimbo wa SALAMA .Tayari video hii imepokelewa vizuri sana na wadau wa nyimbo za injili na imefanyika baraka kwa watu wengi .Video hii imefanywa na director makini kabisa kutoka kanda ya ziwa Marco Zaky.
Kutazama video YouTube bonyeza link hapo chini.
Neema Ng'asha,ni Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania. alianza kuimba tangu akiwa mtoto Sunday school.
Lakini ilipofika mwaka 1998 akiwa kidato cha pili Mungu alimupaka mafuta baada ya kushukiwa na Roho Mtakatifu kwa nguvu sana, tangu hapo akaanza kutunga nyimbo za injili.
Akaanzisha band iliyoitwa Jerusalem band ambayo walikuwa wakiimba na dada yake Martha Ng'asha na vijana wengine pale kanisani.
Baada ya kumaliza chuo pale AVU-University of Dar es salaam ,mwaka 2010 alingia studio na kurekodi album yake ya kwanza iliyoitwa USINIPITE MWOKOZI.
Mpaka sasa amerekodi album 3 na single nyingi ikiwemo SALAMA aliyoichia Mwezi March 2025.
Kutoka jijini Mwanza Muimbaji wa nyimbo za injili Neema Ng'asha media inayoitwa GOSPEL VIBES MEDIA.Akiongea na mwandishi wa blog hii Neema Ng'asha ambaye ndiye Mkurugenzi mtendaji wa GOSPEL VIBES MEDIA amesema kumekuwepo na changamoto ya muda mrefu hasa jijini Mwanza waimbaji kupata huduma ya Digital marketing.Toka siko poa kusambaza CD lilipokufa Tanzania,waimbaji wengi wamepata changamoto kusambaza kazi zao ili kuwasifia watu wengi.Kwa sasa mtandao ndiyo chombo pekee kinachotumiwa na watu wengi duniani hivyo basi kuna ulazimu wa waimbaji kujua jinsi ya kutumia mtandao kusambaza kazi zao.Hivyo basi tunamshukuru Mungu kutusaidia kufungua media tukishirikiana na Director IP Magera kwa pamoja tunaamini media hii italeta mapinduzi makubwa siyo Mwanza tu hata Tanzania kwa ujumla.
Hivyo tunawakaribisha waimbaji na wachungaji kufanya kazi na sisi ili kuleta maongezeko kwenye huduma zenu.Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0754220078.Muimbaji wa nyimbo za injili Neema Ng'asha jana ametoa video yake mpya inayoitwa "ASANTE". Neema Ng'asha amekuwa kimya kwa muda mrefu hajatoa video mpya lakini mwaka huu anamshuru Mungu kumuwezesha kufanya video hii.
Wimbo wa ASANTE ni wimbo wa shukrani unaolelezea wema wa Mungu maishani kwetu.
Kazi hii nzuri imefanywa na Director IPMAGERA kutoka jijini,Mwanza.
Audio imefanywa na producer Justin Rider kutoka Mwanza pia.
Nakusogezea kazi hii naamini itakuvusha kutoka kiwango kimoja cha imani kwenda kiwango kingine.
Fanya kubonyeza link kuangalia wimbo wote
👇👇👇👇👇👇👇🔥🔥💦💧💥
https://youtu.be/BISujOEKqZU